sw_tn/amo/01/14.md

12 lines
218 B
Markdown

# pamoja na dhoruba katika siku ya kimbunga
"pamoja na mambo mengi mabaya yanayotokea yote kwa pamoja"
# dhoruba...kimbunga
aina mbili za upepo mkali sana
# kimbunga
dhoruba ambayo iendayo kuzunguka katika duara.