sw_tn/act/27/23.md

8 lines
304 B
Markdown

# Lazima usimame mbele ya Kaisari
Neno "Lazima usimame mbele ya Kaisari" Inamaanisha paulo kufika mbele ya mahakama na kuhukumiwa na Kaisari. "Lazima usimame mbele ya Kaisari akuhukumu"
# Lakini lazima tuumie kwa kupigwa katika baadhi ya visiwa.
"Upepo lazima utatupeleka ufukweni mwa visiwa fulani."