sw_tn/act/25/13.md

20 lines
417 B
Markdown

# Maelezo ya jumla
Festo akaanza kuelezea kesi ya Paulo kwa mfalme Agripa.
# Sasa
Neno hili linaonyesha mwanzo wa tukio jipya kwenye simulizi.
# Mfalme Agripa na Bernike
Agripa alikua mfalme aliyetawala wakati huo na Bernike alikuwa dada yake.
# Kumtembelea kiofisi
"kumtembelea Festo kuhusu masuala ya kiofisi.
# Mtu mmoja aliachwa na Felix kama mfungwa.
Wakati Felix akiacha ofisi alimuacha mtu gerezani.