sw_tn/act/23/18.md

8 lines
310 B
Markdown

# Paulo yule mfungwa aliniita akataka nikuletee
Mfungwa Paulo ameniomba kuja kuzungumza nawe.
# Yule jemadari mkuu akamshika kwa mkono akajitenga naye kando
Jemedari mkuu alimshika kijana mkono na kwenda naye kando, hii inaonyesha kijana yule alikuwa mpwa wa Paulo mwenye umri wa kati ya miaka 12 hadi 15.