sw_tn/act/17/22.md

16 lines
434 B
Markdown

# Taarifa ya Jumla
Paulo alianza mahubiri yake kwa wanafilosofia wa Areopago.
# weny dini hasa katika kila namna
Paulo alikuwa akirejea jinsi Waathene wanavyoonyesha hadharani kuheshimu miungu kwa sala, kujenga madhabahu na kutoa dhabihu
# kwani nilipokuwa nikipita
"kwasababu nilipotembea na kupita"
# KWA MUNGU ASIYEJULIKANA
Inaweza ikawa na maana zifuatazo 1) "mungu fulani asiyejulikana" au 2)"kwa mungu yeyote tusiyemjua