# ujumbe wa jumla
maneno yeye au wao yanamtaja Paulo
# kwa kutumwa kwao na kanisa
kanisa hapa linamaanisha watu waliokuwa sehemu ya kanisa