sw_tn/act/14/01.md

28 lines
712 B
Markdown

# Maelezo ya jumla
Habari ya Paulo na Barnaba Ikonia inaendelea.
# Ikatokea katika Ikonia ya kwamba
Maana hapa yawezekana kuwa 1) "ilitokea Ikonia ya kwamba" au 2) "Kama kawaida ndani ya Ikonia"
# alizungumza kwa namna ambayo
"alizungumza kwa namna ambayo." Inaweza kusaidia kutamka kwamba walizungumza ujumbe kuhusu Yesu. "walizungumza ujumbe kuhusu Yesu kwa nguvu"
# Wayahudi waliokuwa hawatii
Hii inalenga kikundi cha Wayahudi ambao hawakumuamini ujumbe wa Yesu.
# kutikisa akili za Wayunani
kusababisha Wayunani kuwa na hasira inazungumzwa kana kwamba maji yaliyotulia kuchafuliwa.
# akili
hapa neno "akili" linamaanisha watu
# ndugu
hapa "ndugu" linamaanisha Paulo na Barnaba na waumini wapya.