sw_tn/act/13/11.md

40 lines
825 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Paulo anamalizia majadiliano na Elima.
# mkono wa Bwana upo juu yako
Neno "mkono" unawakilisha nguvu za Mungu na neno "juu yako" linamaanisha adhabu . "Mungu atakuadhibu"
# utakuwa kipofu.
Hii inaweza kutafsiriwa kuwa; "Mungu atakufanya kipofu"
# Hautaliona Jua
Elima atakuwa kipofu kabisa kwamba hataweza kuliona jua.
# kwa muda
"Kwa kipindi fulani" au "Mpaka muda wa Mungu aliouamru"
# mara moja ukungu na giza vilianguka juu ya Elimas
"Macho ya Elima yakapata ukungu na giza" au "Elima uoni ulikuwa hafifu na kisha hakuweza kuona kabisa"
# alianza kuzunguka pale
"Elima alianza kutangatanga"
# Liwali
Huyu alikuwa ni mtumishi wa serikali katika jimbo la Rumi.
# Aliamini
"Alimwamini Yesu"
# alishangazwa kwa mafundisho kuhusu Bwana.
"Mafundisho kuhusu Bwana Yesu yalimshangaza mno"