sw_tn/act/11/04.md

32 lines
708 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Petro anawajibu Wayahudi kwa kuwaambia juu ya maono na kile kilichotokea katika nyumba ya Kornerio.
# Petro alianza kueleza
Petro hakujaribu kusema maneno ya kuwapinga Wayahudi waumini, bali alijibu kwa maelezo ya kirafiki na hekima.
# Kwa undani
"Hakika ya kile kilichotokea"
# Kama kitambaa kikubwa
Chombo kilichoshikilia wanyama kilionekana kitambaa kikubwa.
# Chenye pembe nne
"Kikubwa chenye pembe nne"
# wanyama wenye miguu minne waishio katika nchi,
"Wanyama wa miguu" Mwitikio wa Petro ulilenga sheria ya Musa iliyokuwa inazuia kula baadhi ya wanyama.
# Wanyama wa mwitu
Pengine ni wanyama wasioweza kufugwa.
# wanyama watambaao
Hawa ni wale waendao kwa kutambaa.