sw_tn/act/10/24.md

8 lines
256 B
Markdown

# Siku iliyofuata
Hii ilikuwa ni siku moja baada ya wao kuondoka Yafa. Safari ya kwenda Kaisaria ilikuwa ndefu zaidi ya siku moja.
# Kornelio alikuwa akiwasubiri
Kornerio alikuwa akiwatarajia. Akiwa amewaita pamoja ndugu zake na marafiki zake wa karibu