sw_tn/act/10/13.md

20 lines
716 B
Markdown

# sauti ikasema kwake
Mtu anayeongea hajulikani. Pengine "sauti" alikuwa Mungu mwenyewe, ingawa inawezekana alikuwa Malaika kutoka kwa Mungu.
# Siyo hivyo
Petro anaapa "Sitafanya hivyo"
# sijawahi kula kitu chochote najisi na kichafu
Imetafsiriwa kuwa wanyama wanawakilisha wasio safi kama ilivyoelezwa na sheria ya Musa na walikuwa hawaliwi na waumini walioishi kabla ya kifo cha Kristo.
# Alichokitakasa Mungu
Kama Mungu ndiye msemaji, anajipambanua mwenyewe kwa nafsi ya tatu; "Kile ambacho Mungu alikitakasa"
# Hii ilitokea mara tatu
Si kwamba kila kitu alichokiona Petro kilitokea mara tatu. Hii inaweza kuwa na maana; "Kile ambacho Mungu alikitakasa" neno hili ndilo lilijirudia mara tatu mfurulizo.