sw_tn/act/09/03.md

28 lines
760 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Baada ya Kuhani Mkuu kumpatia Sauli barua, Sauli alisafiri kuelekea Dameski.
# Hata alipokuwa akisafiri
Sauli aliondoka Yerusalemu na kuelekea Dameski.
# Ilitokea kwamba
Haya ni maelezo yanayobadisha simulizi kuonyesha kwamba jambo la tofauti litatokea.
# ikaangaza kotekote nuru kutoka mbinguni
"nuru kutoka mbinguni ikawangaza kotekote"
# Kutoka mbinguni
Inaweza kuwa na maana kuwa; 1) Mbinguni, mahali Mungu anaishi au 2) Anga.
# Akaanguka chini
Inawezekana kwamba 1)"Sauli alianguka pekee yake chini"au 2)"Mwanga ulisababisha yeye kuanguka chini"au 3)Sauli alianguka chini kama yeyote ambaye huanguka,"Sauli hakuanguka kwa bahati mbaya.
# Kwa nini unaniudhi ?
Bwana alimkemea Sauli katika hali ya swali. "Unaniudhi mimi!"