sw_tn/act/09/01.md

28 lines
772 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Simulizi inarudi nyuma kwa Sauli na wokovu wake.
# Maelezo ya jumla
Mistari hii inatupatia picha kwa kutujulisha kuwa Sauli alikuwa akiendelea na kazi zake tangu Stefano alipouawa kwa kupondwa kwa mawe.
# kuendelea kuongea maneno ya mauaji dhidi ya wanafunzi
Kiwakilishi cha jina "mauaji" linaweza tafsiriwa kama kitendo: aliendelea kuongelea vitisho, hata kwa kuwaua wanafunzi.
# kwa ajili ya masinagogi
Inazungumzia juu ya watu katika Sinagogi. "Kwa watu wa Sinagogi" au "Kwa viongozi wa Sinagogi"
# ili kwamba akimpata
Kama akimpate mtu yeyote
# aliye katika Njia ile
"anayeyafuata mafundisho ya Yesu"
# Anaweza akawapeleka Yerusalemu
Anaweza akawapeleka kama wafungwa.' "ili viongozi wa wayahudi wapate kuwahukumu na kuwasulubisha".