sw_tn/act/07/17.md

28 lines
796 B
Markdown

# Wakati wa ile ahadi ambayo Mungu alimwahidi Abrahamu ulipokaribia, watu wakiwa wameongezeka huko Misri,
Katika baadhi ya lugha zingine inaweza kuwa msaada ikisomeka; Idadi kubwa ya watu ilipoongezeka, badala ya kusema; muda wa ahadi ulipowadia.
# Muda wa ahadi ulipokaribia
Ulikuwa umekaribia muda ambao Mungu angetimiza ahadi yake kwa Ibrahimu.
# aliinuka mfalme mwingine
falme mwingine alianza kutawala
# Juu ya Misri
"Misri" inasimama badala ya watu wa Misri. "Watu wa Misri"
# Nani asiyejua kuhusu Yusufu
"Yusufu"inarejea sifa njema ya Yusufu. "Nani hakujua kuhusu mamlaka ya Yusufu huko Msri."
# Waliwatenda mabaya baba zetu.
"Waliwatenda mababu zetu kimaskini"au" "walichukua faida kwa mababu zetu"
# Waliwatupa watoto wao wachanga
kuwatupa watoto wao wachanga ili wasiishi