sw_tn/act/04/15.md

20 lines
737 B
Markdown

# Mitume
Linaelezea juu ya Petro na Yohana.
# tutawafanyaje watu hawa?
Wayahudi viongozi wanauliza swali kama wamechanganyikiwa kwasababu kwa kuwa hawakufikiri nini cha kuwatendea Petro na Yohana. "Hakuna cha kuwatendea hawa wanaume"
# Ni kweli kwamba muujiza wa ajabu umefanyika kupitia wao unajulikana na kila mmoja anayeishi Yerusalemu
Inamaanisha; kila mtu anayekaa Yerusalamu anajua juu ya muujiza uliotendwa na hawa wanaume.
# ili kwamba jambo hili lisienee miongoni mwa watu
Neno "jambo" linamaanisha muujiza wowote au mafundisho ya Petro na Yohana yanaweza kuendelea kusambaa.
# kamwe wasinene wala kufundisha kwa jina la hili.
Neno "Jina" linamaanisha ubinadamu wa Yesu. Wasinene tena kwa yeyote kuhusu huyu mtu, Yesu.