sw_tn/act/03/17.md

16 lines
512 B
Markdown

# Sasa
Hapa Petro anageuza usikivu wa mkutano kutoka kwa kiwete na anaendelea kuwaambia moja kwa moja.
# kwamba mlitenda katika ujinga
Maana inayowezekana 1) Hao watu hawakujua kuwa Yesu alikuwa Masihi au 2) Watu hawakujua maana ya kile walichokuwa wakifanya.
# Mungu aliwaambia mapema kwa vinywa vya manabii wote
Manabii waliponena, ilikuwa kama Mungu mwenyewe aliyenena kwasababu aliwaambia nini cha kusema.
# kwa mdomo wa manabii wote
Inamaanisha yale yote yaliyonenwa "kupitia manabii" na kuyaandika.