forked from WA-Catalog/sw_tn
32 lines
971 B
Markdown
32 lines
971 B
Markdown
# Maelezo ya Jumla
|
|
|
|
Hili ni tukio jipya; hii sasa ni siku ya Pentekoste, siku 50 baada ya pasaka.
|
|
|
|
# Maelezo ya jumla
|
|
|
|
Neno "wao" huenda linarejea kwenye kundi la mitume na waumini wengine 120 ambao walikuwa pamoja katika. Luka 1:15 ametaja vile.
|
|
|
|
# Ghafla
|
|
|
|
Neno hili linatumika hapa kuonesha tukio lililotokea pasipo kutegemea.
|
|
|
|
# hapo ikaja sauti kutokea mbinguni
|
|
|
|
"kelele ilitokea mawinguni mahali pa makao ya Mungu"
|
|
|
|
# Sauti kama uvumi wa nguvu wa upepo
|
|
|
|
"kama uvumi wa upepo wa nguvu sana" au kama mvumo wa nguvu"
|
|
|
|
# Nyumba yote
|
|
|
|
Hii inaweza ikawa nyumba au jengo kubwa.
|
|
|
|
# Kulionekana kwao ndimi kamaza moto
|
|
|
|
Hizi si ndimi hasa au moto 1) ndimi zilizoonekana kama za moto au 2) mwale mdogo wa moto ulioonekana kama ndimi wakati unawaka katika sehemu ndogo, kama vile chemli , mwale unaweza ukajitengeneza kama ulimi.
|
|
|
|
# Wote walijazwa na Roho Mtakatifu
|
|
|
|
Hii inaweza kutafsiriwa kama kitenzi tendaji. Roho Mtakatifu aliwajaze wote waliokuwa kwenye hicho chumba.
|