sw_tn/act/01/21.md

24 lines
710 B
Markdown

# Sentensi Unganishi:
Petro anamaliza hotuba yake kwa waumini aliyoianza
# Maelezo ya jumla
Neno "sisi" Petro analitumia akimaanisha mitume na siyo waumini wote.
# lazima awe shahidi wa ufufuo pamoja nasi
Petro anawaambia mtu atakayechukua nafasi awe na sifa hizo.
# watu walioabatana nasi ... mmoja wao hao lazima awe shahidi pamoja nasi wa kufufuka kwake
Petro anafafanua sifa kwaajili ya mtu ambaye atamrithi Yuda kama mtume.
# Wakaweka mbele watu wawili
Walipendekeza majina ya watu wawili waliokuwa na sifa sawa na hotuba ya Petro.
# Yusufu aliyeitwa Barsaba, ambaye pia aliitwa Yusto
Yusufu pia alijulikana kwa majina Barsaba na Yusto alitwaa nafasi iliyokuwa imeachwa wazi na Yuda Iskariote.