sw_tn/2sa/22/22.md

12 lines
315 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla:
Wimbo wa Daudi kwa Yahwe unaendelea
# Nimezitii njia za Yahwe
"Njia za Yahwe" inamaanisha jinsi Yahwe anavyotaka watu wake kuenenda. Hii inamaanisha Daudi alifanya kile Yahwe alichotaka afanye.
# mekuwa mbele yangu
Hii inamaanisha Daudi mara kwa mara husoma na kutafakari maagizo ya Mungu