forked from WA-Catalog/sw_tn
16 lines
660 B
Markdown
16 lines
660 B
Markdown
# Maelezo ya Jumla:
|
|
|
|
Wimbo wa Daudi kwa Yahwe unaanza. Anatumia usambaba kusisitiza akisemacho.
|
|
|
|
# Maana mawimbi ya mauti yalinizunguka, mafuriko ya maji ya uharibifu yakanishinda
|
|
|
|
Daudi anawalinganisha waovu waliotaka kumwua kama mafuriko ya maji yatakayo kumzamisha. Mistari hii miwili ina maana moja na imetumika kwa msisitizo.
|
|
|
|
# Maana mawimbi ya mauti yalinizunguka
|
|
|
|
Hii ni picha ya maji yaendayo kasi na kuharibu kila kitu yapitapo.
|
|
|
|
# Vifungo vya kuzimu vilinizunguka; kamba za mauti zikaninasa
|
|
|
|
Daudi anazungumzia mauti na kuzimu kama watu watakao kumnasa kama mwindaji anasavyo mnyama. Vifung viwili hivi vina maana moja na imetumika kwa msisitizo.
|