sw_tn/2sa/21/20.md

16 lines
354 B
Markdown

# Numba ishirini na nne
Numba ina - "vidole 24 vya mikono na miguu kwa pamoja"
# Mrefai
Kundi hili la watu walijulikana kwa ushujaa wao mkubwa.
# Yonathani mwana wa Shama
Huyu alikuwa nduguye Daudi.
# waliuawa kwa mkono wa Daudi na kwa mkono wa askari wake
"kwa mkono wa" humaanisha "kupitia" au "kwa". Maana yake ni Daudi na watu wake waliwaua.