sw_tn/2sa/21/15.md

16 lines
283 B
Markdown

# Ishibibenobu
Hili ni jina la mwanamme.
# shekeli mia tatu
"shekeli 300"
# Abishai mwana wa Seruya
Abishai na Seruya ni majina ya wanaume
# usije ukaizima taa ya Israel
"Taa ya Israeli" ni usemi unaomaanisha uongozi wa Daudi na kama angekufa watu wangekosa mwelekeo sahihi.