sw_tn/2sa/19/16.md

16 lines
289 B
Markdown

# Gera... Siba
Haya ni majina ya wanaume.
# Bahurimu
Hili ni jina la sehemu
# watu elfu moja... wana kumi na watano... watumishi ishirini
"watu 1,000... wana 15... watumishi 20"
# mbele ya mfalme
Hii inamaanisha kwamba mfalme alikuwepo na alikuwa anafahamu kilichokuwa kinaendelea.