sw_tn/2sa/18/03.md

16 lines
474 B
Markdown

# Nusu yetu
Neno "nusu" linarejea kwa kitu kimoja kati ya viwili vinavyolingana.
# Wewe ni zaidi ya watu elfu kumi kati yetu
Hii inamaanisha kwamba jeshi la adui linahesabu kumwua Daudi kuna thamani ya kuua watu 10,000. Idadi ya watu 10,000 ni hesabu iliyotiwa chumvi ili kusisitiza idadi kubwa zaidi ya watu.
# elfu kumi
"10,000"
# Kwa hiyo ni afadhari zaidi ukitusaidia ukiwa mjini
Daudi angeweza kuwasaidia akiwa mjini kwa kuwashauri na kupeleka watu kuwasaidia.