sw_tn/2sa/14/15.md

28 lines
840 B
Markdown

# kwa sababu watu wamenitisha.
Maneno yanayokosekana yanaweza kuongezwa katika kifungu hiki. Yaani "kwa sababu watu wameniogopesha hata nimekuja"
# Mtumishi wako
Hii ni kuonesha heshima kwa mfalme hivyo anajiita "mtumishi wako"
# Kumtoa mtumishi wake
Hapa kifungu "kumtoa" inamaanisha kumkabizi katika mikono ya mtu mwingine.
# Kutoka katika mkono wa mtu
Hapa "mkono" unarejerea katika mamlka ya mtu.
# Kutoka katika urithi wa Mungu
Hii inamaanisha kwamba wasingekuwa na mzao yeyote wa kuishi katika nchi ambayo ingelithiwa na wazao wao.
# Neno la bwana wangu mfalme
Kirai jina "neno" kinaweza kuelezwa na kitenzi "husema"
# Maana kama malaika wa Mungu, ndivyo alivyo bwana wangu... kutoka uovu
Hapa Daudi, mfalme, analinganishwa na "malaika wa Mungu." Hii ni kwa sababu wote wanajua jinsi ya kutofautisha mema kutoka mabaya.