sw_tn/2sa/13/32.md

24 lines
418 B
Markdown

# Yehonadabu... Shama
Huyu ni mwana wa nduguye Daudi
# Bwana wau asiamini
"Bwana wangu, usiamini"
# bwana wangu
Yehonadabu anamwita Daudi "bwana wangu" kuonesha heshima.
# Amnoni alimwaribu dada yake
Hii ni njia rahisi ya kusema Amnoni alimbaka dada yake.
# bwana wangu mfalme asi
"bwana wangu mfalme, usi"
# kuweka taarifa hii moyoni
Kifungu "kuweka jambo moyoni" inamaanisha "kuhofu juu ya jambo fulani."