sw_tn/2sa/13/15.md

8 lines
198 B
Markdown

# Maana uovu huu wa kunifanya niondoke ni mkuu zaidi
Jina la dhahania "uovu huu mkuu" linaweza kuoneshwa kwa kitenzi.
# Funga mlango nyumba yake
Hii inamaanisha kufunga mlango ili asiingie tena.