sw_tn/2sa/11/18.md

12 lines
439 B
Markdown

# Yoabu alituma neno kwa Daudi
"Kutuma neno" kunamaanisha kuwa alituma mjumbe kutoa taarifa kwa Daudi
# Kwa nini mlikaribia hivyo... kutoka katika ukuta?
Yoabu anasema kwamba Daudi anaweza kumkemea kwa kuuliza swali hili. Yaweza kuwa "Hamkupaswa kuwa mmeukaribia mji hivyo ili kupigana nao. Kwani wangeweza kurusha mishale kutokea ukutani"
# Piga kutoka ukutani
Inaonesha watu wa mji wakirusha mishale kwa adui wao kutokea ukutani.