sw_tn/2sa/07/15.md

32 lines
1.3 KiB
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Yahwe alimaliza kueleza ahadi zake kwa Mfalme Daudi kupitia nabii Nathani.
# Lakini umaminifu wangu wa kiagano hautamwacha, kama nilivyomwondolea Sauli
Neno "uaminifu" ni jina dhahania linaloweza kuelezwa kama "aminifu." Lakini pia taarifa hii yaweza kufasiriwa katika muundo chanya. Yaani: "Lakini nitabaki mwaminifu kwake, tofauti na nilivyokuwa kwa Sauli"
# kutoka mbele yako. Nyumba yako... mbele yako. Kiti chako cha enzi
Hapa "wewe" inarejea kwa "Daudi". "kutoka mbele ya Daudi. Nyumba ya Daudi... mbele yake. Kiti chake cha enzi"
# Nyumba yako na ufalme wako utathibitishwa daima mbele yako. Kiti chako cha enzi kitasimamishwa daima.
Sentensi hizi mbili zinamaana sawa na zinasisitiza nasaba ya Daudi kutawala daima.
# Nyumba yako na ufalme wako utaimalika daima mbele yako
Hapa neno "nyumba" inawakilisha uzao wa Daudi, watakao tawala kama wafalme. Hapa "ufalme" humaanisha jambo lilelile kama "nyumba." Utaona nikiimalisha familia yako na utawala wao juu ya watu wa Israeli daima"
# Kiti chako cha enzi kitakuwa imara daima
Hapa "kiti cha enzi" kinawakilisha nguvu ya kutawala kama mfalme.
# maneno haya yote
Hapa "maneno" yanawakilisha kile alichokisema Yahwe.
# Alimwambia kuhusu ono lote
"Alimwambia kuhusu kila kiti Yahwe aliyomwonesha"