forked from WA-Catalog/sw_tn
20 lines
683 B
Markdown
20 lines
683 B
Markdown
# Je ilimpasa Abneri kufa kama afavyo mpumbavu?
|
|
|
|
Hili swali lisiloitaji jibu hutumika kuonesha kwamba kifo chake hakikuwa cha haki.
|
|
|
|
# Mikono yako haikuwa imefungwa. Miguu yako haikuwa imefungwa minyororo.
|
|
|
|
Sentensi mbili hizi zinaonesha wazo moja. Yanaweza kuunganishwa katika sentense moja. Yaani "Haukuwa mwalifu gerezani" au "ulikuwa mwenye haki kwa kutofanya kosa"
|
|
|
|
# Mikono yako haikuwa imefungwa
|
|
|
|
Hii inaweza kuelezwa katika kauli tendaji. Yaani "Hakuna aliyekuwa amekufunga mikono"
|
|
|
|
# Miguu yako haikuwa imefungwa
|
|
|
|
Hii inaweza kuelezwa katika kauli tendaji. Yaani "Hakuna mtu aliyekuwa amekufunga minyororo miguu.
|
|
|
|
# wana wa uovu
|
|
|
|
Hii inarejea kwa watu wasio haki au waovu.
|