sw_tn/2sa/03/19.md

8 lines
203 B
Markdown

# ishirini kati ya watu wake
Idadi ya watu waliokuja na Abneri
# watu wa Benjamini...nyumba yote ya Benjamini
taarifa zote mbili zinahusu wazao wa Benjamini, waliokuwa mojawapo ya makabila ya Israeli