sw_tn/2pe/03/05.md

32 lines
1.1 KiB
Markdown

# mbingu na nchi vilianza... zamani, kwa amri ya Mungu
Hii inaweza kusemwa katika kauli tendaji. "Mungu alianzisha mbingu na nchi... zamani kwa neno lake"
# vilianza kutokana na maji na kupitia maji
Hii inamaanisha kuwa Mungu alisababisha ardhi kutoka kwenye maji, kukusanya maji kwa pamoja kufanya ardhi ionekane.
# kupitia neno lake
Hapa "neno lake" urejea kwa neno la Mungu na maji
# ulimwengu kwa kipindi hicho, ikiwa imejaa maji, iliharibiwa
Hii inaweza kusemwa katika kauli tendaji. "Mungu aliujaza ulimwengu na maji kwa kipindi hicho na kuuharibu"
# mbingu na dunia zimetunzwa kwa neno hilo hilo kwa ajili ya moto.
Hii inaweza kusemwa katika kauli tendaji. "Mungu kwa neno lile lile, ametunza mbingu na nchi kwa ajili ya moto."
# kwa neno hilo hilo
Hapa "neno" usimama kwa Mungu, atakaye toa neno.
# Vimehifadhiwa kwa ajili ya siku ya hukumu
Hii kusemwa katika kauli tendaji na kuanza sentensi mpya. "Anawatunza kwa ajili ya siku ya hukumu"
# kwa ajili ya siku ya hukumu na maangamizi ya watu wasio wa Mungu
Hii inaweza kusemwa pamoja na maneno ya kitenzi. "kwa siku wakati anapohukumu na kuharibu watu wasio wa Mungu"