sw_tn/2pe/02/20.md

20 lines
903 B
Markdown

# Yeyote ajiepushaye na uchafu wa ulmwengu kwa kutumia maarifa ya Bwana na mwokozi Yesu Kristo
Mtu yeyote ambaye amempokea Bwana na Mwokozi Yesu Kristo na kugeuka kutoka kwenye uchafu na maisha yasyo matakatifu.
# Hali yake huwa mbaya kuliko ile ya mwanzo
Ni wabaya zaidi kwa sababu wana maarif ya maisha matakatifu na wamechagua kurudi kwenye maisha ya dhambi
# kama wasingeifahamu njia ya haki
Maisha ya yanayompendza Mungu.
# amri takatifu walizopewa
Sheria za Mungu na amri za Mungu ambazo wamepewa wangejua namna ya kuishi kwa ajili ya Mungu
# Mithali hii...mbwa huyarudia matapishi yake, Na nguruwe aliyeoshwa hurudi tena kwenye matope."
Ni usemi wa busara unaowalinganisha wale wanaoijua kweli lakini wanrudia maisha ya uasi. "Mbwa huyarudia matapishi yake" imenukuliwa toka Mithali 26:11. Katika namna yeyote maana yake inabaki kuwa "mnyama hawezi kufundishika ili asijnajisi mwenyewe"