sw_tn/2ki/25/25.md

386 B

Mwezi wa saba

Huu ni mwezi wa saba kwenye kalenda ya Kiebrania. Iko katika kipindi cha sehemu ya mwishoni mwa Mwezi wa tisa na sehemu ya kwanza ya Mwezi wa kumi huko magharibi.

Elishama

Hili ni jina la mtu

watu wote

Hiki ni kizazi. "watu wengi"

kutoka chini kwenda juu

Hii inamaanisha "Kila mtu," ambayo ni ujumla. "kutoka chini muhimu kwenda juu muhimu" au "kila mmoja"