sw_tn/2ki/25/16.md

553 B

bahari

"beseni kubwa la shaba."

stendi

Hii inarejea kwa stendi kubwa zihamishikazo pamoja magurudumu ya shaba na ekseli. "zile stendi za nguzo za kuhamisha

dhiraa kumi na nane ... dhiraa tatu

Dhiraa ilikuwa sintimita 46. "takribani mita 8.3 ... takribani mita 1.4"

kichwa cha shaba

"msanii, mbunifu wa shaba" au kipande cha shaba pamoja na ubunifu"

kazi ya kiunzi cha fito

Huu ulikuwa ubunifu uliotengenezwa kwa tepe zilizopishana zilizokuwa zikionekana kama wavu.

vyote vilitengenezwa kwa shaba

"vilitengenezwa kwa shaba kabisa"