sw_tn/2ki/25/13.md

863 B

Na zile nguzo za shaba ambazo zilikuwa kwenye nyumba ya Yahwe, Wakaldayo

"Hivi ndivyo ilivyotokea kwa kwa nguzo za chuma ... Yahwe: Wakaldayo"

misimamio

Hii inarejea kwa stendi kubwa zihamishikazo pamoja magurudumu ya shaba na ekseli. "zile stendi za nguzo za kuhamisha"

bahari ya shaba

"beseni kubwa ka shaba"

zivunje kuwa vipande vipande

"kuzivunja vipande vipande" au "kuzichonga kuwa vipande vipande"

mabeleshi

Beleshi kilikuwa kifaa kilichokuwa kikitumika kusafishia madhabahu, hasa kutolea vumbi la manyoya laini ya zulia, mchanga, au majivu.

pamoja ambavyo kuhani alivyokuwa amevitunza kwenye hekalu

"ambayo makuhani walivyokuwa wakitumika katika huduma ya hekalu"

Masufuria ya kuhamishia majivu

Unaweza kuhitaji kufanya dhahiri ambapo majivu huzungumiwa. "Masufuria hutumika kwa ajili ya kutolea majivu kutoka kwenye madhabahu"