sw_tn/2ki/25/06.md

295 B

Ribla

Hii ni sehemu ya mahali

pitisha hukumu juu yake

"amua jinsi watakavo mwadibu"

wakawachinja mbele ya macho yake

Macho yamemwona nafsi yake yote. "walimlazimisha mfalme Zedekia kuwaangalia wasiwaue wana watoto wake"

akamtoa macho yake

"Nebukadreza aliyatoa macho ya Zakaria."