sw_tn/2ki/25/04.md

552 B

Kisha mji ulivunjwa kuwa

Hii inaweza kutafsiriwa katika mfumo tendaji. "Kisha jeshi la Wababeli lilivunjika kuwa mji"

watu wote wapiganaji

"mashujaa wote"

kwa njia ya lango

"kwa kutumia lango"

Wakaldayo

Baadhi ya tafsiri zinatumia "Wakaldayo" na nyingine hutumia "Wababeli." Njia zote zinarejea kwa kundi moja la watu.

Mfalme akaenda katika mwelekeo wa

"Mfalme Zakaria pia alikimbia na kuelekea mbele"

Jeshi lake lote lilitawanyika mbali naye

Hii inaweza kutafsiriwa katika mfumo tendaji. "Jeshi lake lote lilikimbia mbali naye"