sw_tn/2ki/24/03.md

20 lines
690 B
Markdown

# Ilikuwa baada ya mda mfupi kwenye kinywa cha Yahwe
Baadhi ya matoleo yana, "Ilikuwa baada ya mda mfupi kwa sababu hasira ya Yahwe," ambayo ni nzuri kusoma ujumbe halisi.
# kwenye kinywa cha Yahwe
Hapa "mdomo" unawakilisha amri ya Yahwe. "kama Yahwe alivyoamuru"
# waondoe kwenye uso wake
"kuwaondoa" au "waharibu"
# damu isiyo na hatia aliyoimwaga
Damu ni ishara kwa ajili ya uhai usio na hatia, na kumwaga damu ni ishara ya kuua watu wasio na hatia. "watu wasio na hatia aliowaua"
# aliijaza Yerusalemu kwa damu isiyo na hatia
Damu ni ishara kwa uhai usio na hatia, na kumwaga damu ni ishara ya kuwaua watu wasio na hatia. "aliwaua watu wengi wasio na hatia katika Yerusalemu"