sw_tn/2ki/23/34.md

246 B

Yehoyakimu akaitoza nchi kodi

"Yehoyakimu alikusanya kodi kutoka wamilikio nchi"

watu wa nchi

"watu wa nchi ya Yuda." Maana ziwezekanazo 1) "watu walioishi katika nchi ya Yuda" au 2) "tajiri na hodari zaidi wa wale walioishi katika Yuda."