sw_tn/2ki/23/28.md

291 B

hayajaandikwa ... Yuda?

Swali halina majibu na linatumika kwa ajili ya kusisitiza. "huwezi kuyakuta ... Yuda."

Katika siku zake, Farao Niko, mfalme wa Misri

"Katika kipindi Yosia alipokuwa mfalme wa Misri, Farao Niko"

Niko ... Megido

Niko ni jina la kiume. Megido ni jina la mji.