sw_tn/2ki/23/26.md

768 B

Walakini

Mwandishi anatumia hili neno kuonyesha kwamba hata kama haya mambo yote ambayo Yosia aliyafanya yalikuwa mema, Yahwe bado alikuwa na hasira na Yuda.

Yahwe hakugeuka kutoka kwenye ukali wa hasira yake, ambayo ilikuwa dhidi ya

Moto ni ishara ya hasira, na moto ni ishara ya hasira kuanza kuwa na hasira. "ukali" na "hasira" inaweza kuatafsiriwa kama vivumishi. "Yahwe hakugeuka kutoka kwenye ukali wa hasira yake kubwa, ambayo ilikuwa juu ya" au "Yahwe hakuacha kuwa mkali kwa sababu alikuwa na hasira na"

aligadhabisha

"alisababisha kuwa na hasira"

kuondoa usoni kwangu

"kutoka nilipo" au "kutoka kuwa karibu nami"

Jina langu litakuwa huko

Jina ni badala ya heshima ambayo watu wanayotakiwa kutoa kwa mtu. "Watu watatakiwa kuniheshimu hulo"