sw_tn/2ki/23/24.md

477 B

aliwafukuza ... roho

"kuzilazimisha hizo ... roho kuishi" au "kufanya sheria ambayo wale .. roho zilizokuwa ziondoke"

wale walioongea na wafu au na roho

Maneno yafananayo, "wale wliouawa na wafu na ... wale waliouawa na roho."

miungu

vitu ambavyo watu huamini kimakosa vyenye nguvu ya ajabu

ambaye amemgeukia Yahwe

"alijitoa mwenyewe kabisa kwa Yahwe"

Hapakuwa na mfalme kama Yosia aliyeinuka baada ya yeye

"Na tangu hapo hajawahi kutokea mfalme kama Yosia"