sw_tn/2ki/23/21.md

490 B

Itunzeni pasaka

"Lazima kuisherekea pasaka"

Pasakakama hiyo haijawahi kufanyika tangu siku za

"Uzao wa Israeli haukusherekea sikukuu ya pasaka kwa njia hiyo kubwa katika wakati wa"

alitawala Israeli

Jina "Israeli" linasimama kwa ajili ya uzao wa Israeli."

siku za wafalme wa Israeli au Yuda

"kipindi wakati wana wa Israeli walipokuwa na mfalme wao wa watu wa Yuda walipokuwa na mfalme wao"

Pasaka hii ya Yahwe ilisherekewa

"watu wa Yuda walisherekea hii Pasaka ya Yahwe"