sw_tn/2ki/23/12.md

368 B

Yosia mfalme akayaharibu ... piga ... tupa ... vunja ... katalia chini ... jaza

Inaweza kuwa tafsiri bora ili kwamba msomaji awaelewe hao watu wengine, huenda Hilkia na "makuhani chini yake"

bonde la Kidroni

jina la mahali.

hizo sehemu zikajazwa kwa mifupa ya wanadamu

"ardhi kufunikwa na mifupa ya wanadamu ili watu wasiweze kuitumia tena kama madhabahu"