sw_tn/2ki/23/08.md

496 B

Yosia akawaleta ... na kupanajisi ... akapaharibu

Inaweza kuwa tafsiri bora ili kwamba msomaji aelewe kwamba watu wengine, huenda Hilkia na "makuhani chini yake" wanaweza kumsaidia Yosia kufanya hivi.

Geba ... Bersheba

majina ya mahali

Yoshua (liwali wa mji)

"mji wa utawala uitwao Yoshua" au kiongozi wa mji aitwaye Yoshua." Huyu ni tofauti na Yoshua kutoka katika kitabu cha Agano la Kale cha Yoshua.

ndugu zao

Hapa "ndugu" inarejea kwa makuhani wenzao aliohudumu katika hekalu.