sw_tn/2ki/23/04.md

690 B

kuhani chini yake

"makuhani wengine waliomtumikia"

mlinzi wa lango

watu ambao walikuwa wakilinda malango kwenye hekalu

kwa ajili ya Baali ... kwa nyota zote

"hivyo watu wangewatumia kumwabudu Baali ... hivyo watu wangeweza kuwatumia kuziabudu nyota zote"

Akachoma ... na kubeba ... Akawaondoa

Mifano miwili ya "Yeye" inamrejea Yosia, lakini inaweza kuwa bora kutafsiri ili kwamba msomaji aelewe kwamba watu wengine, huenda Hilkia na "makuhani chini yake" (23:4), inaweza kuwa Yosia hufanya hivo.

Bonde la Kidroni ... Betheli

majina ya mahali

kwa Baali, kwa juana kwa mwezi, kwa sayari, na kwa nyota zote

"kama njia ya kumwabudu Baali, jua na mwezi, sayari, na nyota"