sw_tn/2ki/23/03.md

20 lines
743 B
Markdown

# tembea na Yahwe
Vile mtu aishivyo inaongea kana kwamba huyo mtu alikuwa akitembea kwenye njia, "kutembea naye" mtu mmoja ni ishara kwa kufanya ambacho huyo mtu mwingine kufanya au kutaka wengine kufanya. "ishi kumtii Yahwe"
# amri zake, maagizo yake, na sheria zake
Haya maneno yote yanamaanisha maana moja. Kwa pamoja yasisitiza kila kitu ambacho Yahwe alichoamuru katika sheria.
# kwa moyo wake wote na roho yake
Lugha "kwa moyo wake wote" inamaana "kabisa" na "kwa roho yake yote" inamaana "pamoja na uhai wake wote" au "kwa nguvu zake zote"
# ambayo yaliandikwa kkatika hiki kitabu
"ambayo yaliandikwa katika hiki kitabu" au "yale yaliyomo ndani ya hiki kitabu"
# simama kwa agano
Hii lugha inamaanisha "kutii maneno ya agano."