sw_tn/2ki/22/20.md

619 B

Maelezo ya Jumala:

Huu ni mwisho wa ujumbe kutoka kwa Yahwe kwa mfalme Yosia kupitia utabiri wa Hulda.

Tazama, nitakukusanya na babu zako; nawe utawekwa kaburini kwako kwa amani

Sentensi zote kimsingi zinamaanisha kitu kimoja. Ni za njia ya heshima ya kusema atakufa. "Sikiliza, nikuruhusu ufe kwa amani"

Macho yako hayataona

Hapa "macho" yanawakilisha utu wote, na, "hutaona" inawakilisha hayatapitia"

janga nitakalolileta juu ya hii sehemu

Yahwe huleta mambo mabaya yatokee yazungumzwa kana kwamba "janga" yalikuwa kitu ambacho Yahwe angeleta mahali. "nitafanya mambo mabaya yatokee katika hii sehemu"