sw_tn/2ki/22/03.md

756 B

Ikawa kwamba

Baada ya hayo kutokea

mwaka wa kumi na nane

"kumi na nane" ni mpango wa namba ya 18. "mwaka wa 18"

Shafani ... Azia ... Meshulamu ... Hilkia

Haya ni majina ya kiume.

nyumba ya Yahwe ... katika hekalu

Hapa "nyumba ya Yahwe" na "hekalu" inamaanisha jambo moja.

Panda juu kwa Hilkia

Kirai "Panda juu" imetumika kwa sababu hekalu la Yahwe lilikuwa juu kwenye mwinuko kisha Mfalme Yosia alipokuwa. "Panda juu kwa Hilkia"

ambazo walinzi wa hekalu wamezikusanya kutoka kwa watu

"wale walinzi wa hekalu waliokuwa wamekusanya pesa kutoka kwa watu waliokuwa wamezileta kwenye hekalu la Yahwe"

Acha zigawanywe kwa mkono ya watendakzi

Hapa "mkono" inawakilisha watenda kazi wote. "Mwambie Hilkia awapatie pesa kwa watenda kazi"